EDEN QUICK BROILER BOOSTER PLUS ni kirutubisho cha chakula kilichoundwa mahsusi kwa ajili ya kukuza haraka vifaranga wa broiler, kuku wa kienyeji, na bata. Ni mchanganyiko kamili wa amino asidi muhimu kwa ukuaji wa misuli, vitamin muhimu kwa ukuaji wa kuku pia humfanya kuchangamka muda wote na madini muhimu katika uhimarishaji wa mifupa. Pia hupewa kuku wa nyama na kuku wa kienyeji wanaokua kukua kwa haraka.