EDEN QUICK DICALCIUM PHOSPHOROUS (DCP Plus) ni kirutubisho cha chakula cha mifugo kinachotumika kupambana na upungufu wa kalsiamu, fosforasi, na vitamini D kwa mifugo yote ikiwemo kuku, ng’ombe, na nguruwe.Pia hufanya mifugo kuwa na mifupa imara na afya muda wote