EDEN QUICK SUPER MACLIK ni kirutubisho kilichoundwa mahsusi kwa ajili ya ng’ombe wa maziwa ili kuwapa madini na virutubisho muhimu vinavyoongeza uzalishaji wa maziwa. Ni mchanganyiko kamili wa vitamini, madini ya Calcium,Phosphorus na Sodium, na amino asidi ili kukamilisha lishe ya ng’ombe na kuboresha uzalishaji wa maziwa.